26Zinapita upesi kama mashua ya mafunjo, mfano wa tai ayashukiaye mawindo kwa ghafula.
27Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’
28bado ninahofia mateso yangu yote, kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia.
29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia, kwa nini basi nitaabishwe bure?
30Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi,