Nehemia 12

Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.

Nehemiah 12:11 (UKJV) And Joiada brings forth Jonathan, and Jonathan brings forth Jaddua.

9Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada.

10Yeshua alikuwa baba wa Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa baba wa Yoyada,

11Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.

12Katika siku za Yoyakimu, kulikuwa na wakuu wa jamaa za kikuhani: wa jamaa ya Seraya, Meraya; wa jamaa ya Yeremia, Hanania;

13wa jamaa ya Ezra, Meshulamu; wa jamaa ya Amaria, Yehohanani;

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.